Napkin ya usafi ni bidhaa laini inayovaliwa na mwanamke ili kunyonya damu wakati wa hedhi (=mtiririko wa damu kila mwezi).